IQNA - Imamu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri, Sheikh Ahmed al-Tayeb amesafiri kwenda Bahrain kushiriki mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Kiislamu.
Habari ID: 3480243 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/20
TEHRAN (IQNA)- Sheikhe Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed al-Tayeb amemtumia salamu za Krismasi, Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani.
Habari ID: 3471782 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/22